Mkuu wa Mkoa Kigoma aipongeza TFRA kutatua changamoto uchache wa Mawakala Mbolea za Ruzuku

Na Barnabas Kisengi Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Thobias Andengenye ameipongeza Mamlaka ya Udhibiti wa Mbolea Tanzania (TFRA) kwa kuchukua hatua za haraka katika kutatua changamoto ya uchache wa mawakala wa mbolea za ruzuku katika mkoa huo. Ametoa pongezi hizo  Oktoba, 262022 kwa Mkurugenzi Mtendaji wa TFRA, Dkt. Stephan Ngailo aliyewasili mkoani hapo kwa shughuli